Friday, January 22

Mdau Abra kakuaaa

Mdau Abra akiwa home...Hizi ni picha za birthday yake ya kutimiza mwaka mmoja, ambayo ilifanyika nyumbani kwao, London, UK.

Anasema, " sasa nimekuwa dada mkubwa ninamsaidia hata mama kupika chakula cha papa."
Mi nna hamu ya kuonja hicho unachopika...

No comments: