Thursday, January 7

Happy New Year from Imar

Mdau, cuteee, Imar anatuma salamu zake:

" Habari aunt jiang,
mimi ninaitwa Imar, nina umri wa miezi 6, na huyu niliyenaye ni mama yangu anaitwa Mariam Said,
wote kwa pamoja tunawatakia wadau wote wa mamanamwana blogspot, kheri ya mwaka mpya wa 2010."

No comments: