Tuesday, January 26

Zay akila good time

Mdau huyu mrembo anaitwa Zay, ana miaka minne (4), anapenda kubembea na kuogelea, kama mnavyomuona hapa.
Pia ni aunt wake mdau Imar.3 comments:

Anonymous said...

Mh Zai ana gradiator, na kikuku cha shanga.
Good looking.

disminder

Anonymous said...

SAMAHANI JAMANI HAPO NI WAPI? NAMI NATAKA NIWAPELEKE WANANGU

Mama Dorcas said...

helow mam X mambo yako?
naomba utusaidie hichi kijiwe ni cha wapi?maanake mwanangu nae anapenda haswaaaa kuogelea