Thursday, January 28

Vicent anajifunza kuendesha gari

Kwa hapa kila kitu kinaonekana kiko alright! maana usikani umeshikiliwa, na dereva wetu, Vicent anasikiliza maelekezo ya mwisho aondoe mchuma...

...Hapo sasa miguu inapokua haifiki kwenye peddle...mmh, labda tuhairishe darasa hadi miaka miwili ijayo, afu tutaangalia kama miguu itakua na ushirikiano...

2 comments:

Anonymous said...

Huyu lazima atakuwa driver mzuri
hahahahahaha

disminder

Lulu said...

Disminder, nataka nikupe taji la kuwa comentator no 1 in Tanzania. Cheers!!!!!!!!!!!

Huyu Vicent siyo mchezo anasukuma mchuma siyo mchezo.