Friday, January 29

Hii ndio saizi yako...

Sasa hii ndi saizi yako Vicent, hayo magari ya wakubwa bado...
Naskia hii pikipiki inaingizwa hadi bafuni, na nijitayarishe,
"X atakupa hekaheka humo ndani na baiskeli aloletewa na bibi itapanda hadi kitandani" anasema ma'mtu Lulu Kilonzo, kwa mpango huo sitaki mashuka meupe tena!

No comments: