Sunday, January 31

Happy birthday Eve

Leo mdau Evelyn Noah anatimiza miaka 13.

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Eve maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

Xchyler anamtakia mdau huyu wa kipekee kwake birthday njema, maana huyu ni aunt wake X na ni mtu anayecheza sana na X wikend akiwa na muda, kwa nyumbani kwa mama ndio mtu ambaye X anaona ni mtoto mwenzake, so utundu wote anamalizia kwake.

No comments: