Monday, February 1

Happy birthday Naima

Leo ni birthday ya mdau Naima Daffa, ambapo anatimiza mwaka mmoja.

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Naima maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

*Tunasubiri picha za keki*

No comments: