Thursday, February 4

Happy birthday Chriss

Leo mdau Chriss Chimwaga anatimiza miaka nane(8).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Chriss maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: