Thursday, February 4

Happy birthday Josh

Leo mdau Joshua Absalom anatimiza miaka minne(4).
Huyu pia nia mdau wa muda mrefu sana hapa bloguni, yani ni moja kati ya wale wadau wa mwanzo kabisa. Nampongeza ma'mtu Angela Semaya kwa kukuza.

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Josh maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

*Angie usisahau kuja na picha*

No comments: