Thursday, February 11

Happy birthday Kawthar

Leo mdau Kawthar Kisusi anatimiza mwaka mmoja (1).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Kawthar maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

1 comment:

Stiba said...

Tunashukuru kwa niaba ya Kawthar, Mungu amjaalie maisha marefu yenye mafanikio ya ndoto zake, hatukuweza kupata picha za Birthday yake kwa sbb umeme ulitukatili kidogo, lakini tutairudia Birthday hiyo Jumapili ya tarehe 14/2/2010. Ahsante