Wednesday, March 31

Happy belated birthday Maria

 Beautiful Maria (Kwimage) alisherehekea siku yake ya kuzaliwa hivi karibuni.
Maria (Kwimage) ni mkazi wa Tabata Segerea. Ni first born wa baba Joseph Johnson Wofile na mama Jamila (Janeth) Hassan Wofile.

 Tam-tam, alivyoonesha tu akataka kukata bila kisu ndio maandishi yalitaka kufutika.

Akizima mshuma...hapa naona alishalamba, maana kidevu kinaonyesha...

 ...mchu mchu mchu...mwhaaaaaa! ma'mtu akimchum.

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tumtakia Maria maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: