Wednesday, March 31

Happy Birthday Frida

Leo mdau Frida Fred anatimiza miaka mitatu (3).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tumtakia Frida maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: