Tuesday, March 30

Mama na mwana wa kijijini!

Mama akiwa amembeba mdau mgongoni huku akiwa amebeba kapu kubwaaa kichwani...haya ni maisha ya kawaida kabisa kijijini...na mdau hana wasiwasi hapo, anabembea tu.

(Picha kwa hisani ya Dr Moses Ringo)

3 comments:

disminder said...

Tena mama hata ashiki anadunda tu na kapu limetulia.
Maisha haya yana raha yake.

Anonymous said...

Thanks Jiang,

I love the picture

Mtoto wa Tanzania said...

I don't think so kama ni kweli maisha haya yana raha yake!!
Hivi ni raha gani anayopata huyo mama!!??
Ila huu ndo ukweli wa maisha ya mama zetu n pengine baba mlevi tu.
Mama ndiye kila kitu!!