Wednesday, March 24

Karen anawatakia birthday njema wote waliozaliwa mwezi huu

 
Huyu ni m-cuuuuute Karen, mama yake anasema anampenda sana, Karen hana mdogo wake bado, anaishi na dada yake mlezi mchana kutwa, usiku anakua na wazazi wake, anakua bored sana sometimes, anapenda Cartoon tangu akiwa mchanga, hapa ana miezi tisa, kama mtakumbuka last month alisalimia watoto wenzie na kuwatakia afya njema, anapenda kuandika sana, halali bila kujichora na kalamu, anapenda kucheza na dady yake sana ila wakati mwingine wanagombana hadi mama yake anachukia. Karen akijua mama yake anataka kutoka na aachwe peke yake huwa anaketi mlangoni, mama yake akimaliza kujipura atoke anamkuta mlangoni kajaa tele, toka uone! ni anaanza kilio hadi utaacha unakoenda kwa kumwonea huruma.
 
Karen anauliza ni wapi pa kucheza na watoto wenzie kwa hapa dar?
 
Leo anawatakia watoto wote waliozaliwa mwezi kama huu, "Happy Birthday"

5 comments:

Elyc said...

So cuteeeeee!!!

Anonymous said...

Marry Brown Masaki ila mpeleke Jumapili ndo ataenjoy

Anonymous said...

lovely baby. love anut isabel

Anonymous said...

cute karen nasi tunakupenda sana mtoto mzuri! watoto wangu Jessalyn na jestus pia wanakupa salamu sana!! mahali pazuri pa kucheza watoto ni pale ubungo plaza, ama merrybrown!! wasalimu sana wazazi wako waulize mdogo wako anakuja lini (uchokozi huu)

have fun babe

Alice
friend & mom of 2kids

Anonymous said...

Karen is so happy to get the advice for where to go and meet her fellow kids. Jana kajinyea kwenye pempas hadi leo hana raha. mimi mama yake