Sunday, April 11

Happy Birthday Kelvin

Leo mdau Kelvin Pongo anatimiza miaka miwili  (2).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tumtakia Kelvin maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

1 comment:

Mama Kelvin said...

Asante dear picture za birthday za mdau kelvin zitawajia soon.