Tuesday, May 18

Birthday party ya Imar ilikua bomba!

 Mdau Imar/Happy akiwa amepozi siku ya birthday party ya mwaka mmoja iliyofanyika Marry Brown , Ijumaa ya wiki iliyopita...viatu, gauni hadi kibanio light pink!

 tam-tam ilikua ya Minnie Mouse...alimetisha na birthday girl, kuanzia kibanio hadi viatu...sweeet!


...happy birthday to youuuuuuuu....

 Imar & Mariam...hapa naona dalili ya watu kudhani mtu na dada yake miaka michache ijayo...beautiful!

...hapa Imar akiwa na mama, na ma'mkubwa!


 ...kubadili nguo muhimu!

maakuli time!

baada ya kuimba, kula na kucheza, bila slides inakua bado party ya MB haijaisha!

No comments: