Monday, May 17

Britney amekua...anatafutiwa mdogo!

 Mdau alianzia hapa...hii ni zamani sana...
 
Mungu akajaalia akazaliwa salama, tarehe 13 July, 2006, akapewa jina la Britney.

 Hapa akiwa na mwaka mmoja...

...kakua sasa, ana mwezi wa saba anatimiza miaka minne, ...na shule anasoma.
Ma'mtu Digna Meela anasema mdau anadeka sana, anataka amtafutie mdogo wake ili wagawane ma-love ya mama.
*****
Mama na Mwana tunasema kila la kheri, Mungu akujaalie umpate mdogo wake Britney wawe wanacheza wote...wadau wengi humu wanadeka coz wako peke yao, jamani baby no 2 vipi, anatafutwa au ndi bado mpo mpo kama mie?

No comments: