Monday, May 17

Happy birthday Aziz

Leo mdau Aziz Omari anatimiza miaka minne(4).
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Aziz maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: