Saturday, May 15

Happy birthday Glory

(Birthday girl Glory akipozi wiki iliyopita)
 Leo mdau Glory Moshi  anatimiza miaka miwili (2).
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tumtakia Glory maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.
*****
Hongera Jacquline kwa kukuza...tunasubiri picha za birthday party.

No comments: