Friday, May 14

Risper's birthday party

Mdau Risper alitimiza mwaka Ijumaa ya wiki ileee, ya tarehe 6, hii ni birthday party yake, ilifanyika Cine Club, mambo ya baharini...
Hapa anapata kiss ya mum, Rachel Mkundai...beautiful.

...tam-tam...

...kata keki tuleeee, kata keki tuleeee...

akimlisha mum...

...analishwa yeye, ila inaelekea hata hataki...


...hapa amebebwa na best wa mama...

...Fashonista-in-the-making, ndani ya top ya ukweli na kisketi cha jeans, birthday girl kubadilisha nguo muhimu, ile myeupe kubaki nyeupe ni shida...

Hapa Risper akijivinjari na auntie Lydia Mkony Mlay

...nina uhakika huyu sio pacha wake, ila walivyofanana, mama Risper tuhabarishe mdeu huyu aliyefanana hivi na Risper ni nani yake?

...simply lovely...mabawa hayo nimeyapenda!

WALIOTUWAKILISHA
Hapa ni Harry na mama yake Farida Yusuf Ngowo wakiwapa "Five" wadau...
 Amir Ibrahim Masoud naye aliwakilisha vyema...hapa akiwa na mama yake Mariam Masoud  
Junior naye aliwakilisha vilivyo...

 Zawadi ishavaliwa, apendezaaa,...navizimia sana hivi viatu, ili mradi usitembelee juani tu!

1 comment:

Anonymous said...

huyu mdau (pacha) ni kweli alitaka kuwa pacha wa nje wamepishana siku 11 tu, anaitwa Harry Timothy Ngowo mama yake ni Farida Yusuf Ngowo. Hili ni ingizo jipya toka A town lakini kwa sasa wapo Dar es Salaam. Ni family friends wetu.

From Mama Risper.