Friday, May 14

Happy birthday Jayson

Leo mdau Jayson James anatimiza miaka miwili (2).
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Jayson maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.
*****
Hongereni Jacquline na James kwa kukuza, tunasubiri baby no 2 sasa.

No comments: