Friday, May 14

Happy birthday Imar

Leo mdau Imar Majura anafunga mwaka mmoja.
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tumtakia Imar maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: