Thursday, May 13

Alcuin anawapa hi...

Mdau Alcuin Travis, hapa akikata keki siku ya birthday ya kutimiza mwaka mmoja, anawapa hi wadau wooote...anasema mwakani atawaalika wotee kwenye kula tam-tam.


No comments: