Thursday, May 13

Happy birthday Joseph

Leo mdau Joseph Kimono  anatimiza miaka miwili (2).
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Joseph maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: