Thursday, May 13

Happy birthday Laida

Leo mdau Laida Chimwaga  anatimiza miaka sita(6).
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tumtakia Laida maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: