Monday, May 31

Happy balated birthday Mohammed

Mdau mpya Mohammed Khamis alitimiza miaka mitatu (3) tarehe 22 Mwezi wa 5, 2010. 
Hapo alikuwa akimlisha keki mdau Kawthar Kisusi ambae ni cousin wake.

 Hapa birthday boy akimlisha keki mdau Fatma Kisusi.
Hao ni binamu zake ambao waliungana na wadau wengine kibao kumpa kampani kwenye sherehe yake iliyofanyika Ukonga jijini Dar es salaam.

No comments: