Sunday, June 6

Poleni kwa kupotea bila taarifa...

Nasikitika sana kwa kupotea bila kutoa taarifa kwa wiki nzima, nilikua nje ya mji nikilitumikia taifa.
Sasa nimerudi, tuliendeleze libeneke palepale lilipoishia!
Jiang.

1 comment:

Mfalme Mrope said...

Tunafurahi kuwa nasi tena. Karibu sana ukumbini. Salamu zako toka kwa binti yangu Naima...