Friday, May 28

Happy birthday Andre

Andre akiwa na ma'mtu Hilda Chuma
Leo mdau Clarence Andre Mwanambuu anafunga mwaka mmoja..
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Andre maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.
Xchyler anasema yeye anasubiri kulishwa keki na mdogo wake.

No comments: