Wednesday, May 26

Newton anawapa hi

Mdau Newton(Junior)wa Morogoro akiwa na umri wa week 1 hapo hajui chochote.

Newton (Junior)akiwa na umri wa mwezi 1 anamshukuru mama yake kwa kumlea vizuri na Mungu pia.

Sasa hivi ana umri wa miaka minne (4) na anasoma Hope Day Nursery School  huko huko Morogoro 

 anapenda kuwapa Hiiii wadau wooote.

2 comments:

Anonymous said...

nimependa hivo viatu vyake tu.. wink.. Mungu akukuze vema baby boy

newton said...

aSANTE MDAU MUNGU NI MWEMA ATAMKUZA TU KWA MAPENZI YAKE.