Wednesday, May 26

Happy birthday Vicent

Leo mdau Vicent Kusekwa anatimiza miaka minne(4).
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Vicent maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 
 
*****
Lulu, tunasubiri picha za mkaka akikata tam-tam.

No comments: