Friday, May 21

Happy birthday Ethan

Leo mdau Ethan Mwaka anafunga mwaka mmoja.
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tumtakia Ethan maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: