Thursday, May 20

Husna & Nasri wanawasalim


 Husna Hamad & Nasri Rashid wanawasalimu na kuwaambia watoto wasikatae kwenda shule. Wao wanasoma Toplayer Nursery School ipo Kimara kwa Beka.


Pia wanawapa salamu rafiki zao woteeeeeee wa blog hii ya Mama na Mwana, na bila ya kuwasahau wazazi wao na bibi na babu wakiwa Vingunguti.

2 comments:

Anonymous said...

Waoo husna umekuwa ila mbona umekata nywele jamani na nasri nae anasoma jamani hongeren sana msome kwa bidii muwe mawaziri wa miaka ijayo...

Frm Aunt Fetty

Anonymous said...

Husna jicho hilo mwanangu mungu kakubariki sana soma baby nzuri then nakuletea sanbusa kama upendavyo mwenyewe

Frm Uncle Mudy