Wednesday, May 19

Happy belated birthday Sarafina

Mdau Sarafina Dello ametimiza mwaka mmoja tarehe 16 May, hapa ni kwenye birthday party yake.

tam tam imetulia sana...nimeipenda hiyo design yake!

Huyu aliyembeba hapo ni Aunt Aziza...hongera sana mdau na Mmungu akubariki.

No comments: