Saturday, June 26

Happy birthday Athina

Leo mdau Athina Spiro anatimiza miaka sita (6).
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Athina maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: