Saturday, June 26

Happy birthday Collin

Leo mdau Collin Benson anatimiza miaka miwili (2).
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Collin maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

1 comment:

honey said...

duh jane mbona ukunipa kadi jamani nije kwenye part ya Collin? namtakia maisha mema na marefu nawapenda