Monday, June 28

Collins alitoka bomba siku ya birthday yake!!!

 Collin Benson alitimiza miaka miwili juzi ila alikuwa mtundu sana hata keki ilikuwa kazi maana kila akiambiwa amlishe bibi anakula yeye, ila ilipendeza. mimi mama yeke namtakia maisha mema na afya tele. 

 Pamoja na kupendeza na suti yake kaliiii, pia alikua na pozi za ukweliiiiiiii!


No comments: