Friday, July 2

Karibu Muslih

 Mdau mpya anaitwa Muslih Mohamed Manja. Hiyo ya kwanza ni akiwa na 1 week

 Maulid yake alivyotoka 40...so cuuuute!!!

Hapa kiwa na ma'mtu, Mariam Rangi, beautiful!

1 comment:

Anonymous said...

Hongera sana mariam,nawatakia afya njema Allah amjalie mtoto akue salama,

Nuru(Zanaki gals)