Wednesday, June 9

Joan arejea toka Lindi kwa Anko

 Joan anawapa Hi asharudi toka Lindi kwa anko wake sasa anadeka kwa bibi na mama yake D'salaam.


 Jumapili hii alitembelewa na Friends zake.

Joan, Abu (Hicho ki handsome kidogo), Isihaka, Mary na Faidha. Ilikuwa full burudani ilibidi tu waachiwe sebule.

 Vurugu...

Joan na Abu wakiwa ktk pozi

 Mary katika pozi

Abu katika pozi.    

No comments: