Thursday, June 10

Hi from Janice

 
Janice anamsalim antie yake mama na mwana(Jiang) na watoto wote wadau wa blog hii! anasema anawapenda sana. Juzi hii ametimiza miaka miwili na miezi Nane anasema anawapenda watoto wote na anawaambia kwamba tuwaheshimu wazazi wetu kama wanavyotufundisha. Na Mungu aendelee kuwabariki.
 
...Asante mdau, umetoka bomba ulivyometisha kuanzia top hadi viatu! na swagga zako zimeenda shule!

1 comment:

Anonymous said...

Jamani huyu mtoto mzuri kana mapozi kweli namuombea mungu amlinde akue katika maadili mema! halafu umri huo ni karefu kweli! Mama mtoto hongera una binti mzuri!