Tuesday, June 8

Wadau wametembeleana wikend

 Wadau Ian & Jack wakiwa kwenye pozi la ukweli baada ya kutembelana wikend hii.


 ...na Chriss pia alikuwepo...

 ...hapa wako wote, ila naona Chriss anaelekea njia tofauti...

1 comment:

Anonymous said...

Duh...hawa watoto full mauzo....mkue salama wanangu....daddy will always be there for you....