Tuesday, June 8

Salam toka kwa Colman & Collin

 Mdau colman Francis wa Arusha amerudi tena tokea mwaka jana ndo amerudi leo...

 ...hapa yuko bize kwenye michezo yake.sasa ana mwaka na miezi 10


Hapa Colman akimwendesha kaka yake Collin kwenye gari  la aunt yake...
...Hawa mi naona kidogo tu wawe mapacha...maana kila siku nawaona wamevaa sare!

No comments: