Friday, July 9

Birthday party ya Blessings ilikua supa!

Mdau mcuteeee Blessings alitimiza miaka mitatu juzi, Jumatano,hizi ndio picha za birthday party...ilikua supa!!!

 Hapa Blessing (mwenye blue & white) akiwa na rafiki yake Ikunda...wamependezaaaa!


...happy birthday to you!!!


 Mansoor, Ikunda, birthday girl na Esther wakipuliza Vuvuzela, mambo ya WOZA!Hapa akiwa Funkys...


...na friends...

3 comments:

Anonymous said...

happy birthday blessings mungu akubariki kwa kila jambo!sandra na tracey wakupa hi.Tunakupenda sana.

from sandra&Tracey.
UK.

Anonymous said...

Hongera sana baby Blessings umependezaaa na umekuwa mdada. Mungu akujalie maisha yenye keri na fanaka.
Mama mkubwa

Anonymous said...

Waoh baby Blessings umependeza tena umekua mdada. Hongera kutimiza miaka 3. Mungu akufanikishe katika maisha yako yawe yenye furaha na amani. Be blessed as your name.
Mama Mkubwa
Tz