Saturday, July 10

Happy birthday Brian


Leo mdau Brian anatimiza mwaka mmoja (1).
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Brian maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 
 
Ma'mtu Rehema Msham aka Rey anamtakia birthday njema pia anawakaribisha wageni kuja kukata keki.  

1 comment:

Anonymous said...

mmmh!ray hongera sana mbona hujanialika?na huyu mkwe kamzidi lini yvonne?