Wednesday, July 7

Happy birthday Emily

Leo mdau Emily Chonya anatimiza miaka mitano (5).
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Emily maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

3 comments:

Anonymous said...

Jamani hongera sana Emily,MUNGU azidi kukupigania ktk kila jambo maishani mwako yote.Be good always kama ulivyo mcute.

Anonymous said...

Jamani hongera sana Emily,MUNGU azidi kukupigania ktk kila jambo maishani mwako yote.Be good always kama ulivyo mcute.

Anonymous said...

Better late than never , HAPPY BIRTH DAY EMILY. Mungu akubariki na akulinde siku zote za maisha yako. You are another Tanzania bright future!!!!