Saturday, July 17

Happy birthday Rogathe

Leo mdau Rogathe Jesse anatimiza miaka mitano(5).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Rogathe maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: