Friday, July 16

Roshan's birthday party


Mdau Roshan ametimiza mwaka mmoja tarehe July 1.
Ma'mtu Nyambuli Chitama anampenda sana first born wake huyu na anamtakia masiha mema

 mmmm...hii tam tam nimeipenda sana...kwenye picha tu inaonekana tam!!!
(Mama Risper naomba picha zaidi za birthday)
*****
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Roshan maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

PICHA MPYA
 

ma'mtu akimlisha mdau...

Mdau akimlisha mam!!!

(Thanks Mama Risper kwa picha.)

No comments: