Tuesday, July 13

Wadau mniwie radhi kidogo!

Wadau naomba mniwie radhi kidogo, niko Dodoma wiki hii, ila nilishindwa kuaga kwani ilikua ghafla, ila yote kheri! Pia naomba mnivumilie nikiwa nachelewa kusoma mails na comments zenu, huku mchakamchaka wa mjengoni si mchezo!

No comments: