Tuesday, July 13

Happy birthday Oscar (Faraja)

Leo mdau Oscar Stephano Felbo akak Faraja anatimiza miaka minne (4).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Oscar (Faraja) maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.


Ma'mtu Annastacia, picha za birthday party tafadhali.

1 comment:

Mama Faraja said...

Asante sana Mama na mwana kwa kuikumbuka siku hii ya mwanangu mpenzi. yahaani nemefarijika sana nilivyopitia humu na kuona tayali salamu za Ongela zimeshapepelushwa.
Ubalikiwe sana Wifi yangu kwa kazi nnzuri unayoifanya.