Sunday, August 1

Wiki ya Unyonyeshaji


Kama wewe tayari ni mama, ulinyonyesha mwanao? Kama unategema kuwa mama una mpango wa kunyonyesha mwanao?

Kama ni baba ulifanya nini kumsaidia mama wakati wa kunyonyesha? Kama unategemea kuwa baba umejitayarisha vipi kumpa support mama wakati akinyonyesha?

Je unajua unatakiwa unyonyeshe mtoto kwa muda gani? Uanze lini? Unyonyeshe vipi? Kila baada ya muda gani?

Karibu nikupe majibu, maana hii ni Wiki ya Unyonyehsaji Duniani!
Kila siku ntakuwa natoa tip moja ya unyonyeshaji, kuwa nami, unaweza ukapata kitu kipya, hata kama wewe si mama mpya!

Pia unakaribishwa kutuma picha za wakati unanyonyesha, tips zako na experience zako wakati unanyonyesha!

No comments: