Friday, September 10

Eid Mubarak


 MDAU NEWTON WA MOROGORO ANAWATAKIA WATOTO WOTE EID MUBARAK.

 Mama na Mwana pia inachukua nafasi hii hii ya mdau, kuwatakia wadau wooote sikukuu njema ya Eid/Iddi, hasa wale waumin wa dini ya kiislam.
(picha za wadau wakila sikukuuu)

No comments: